Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. hili ndio nashangaa sana Tanzania ati Muombaji awe na experience ya ANGALAU MIAKA 10 inamaana ukitoa Angalau basi ni miaka 20

    Sasa kkama mtu ana ujuzi wa Miaka kumi huyo muombaji atakuwa na miaka mingapi? bilashaka atakuwa na miaka 50 kwa hiyoo baada ya miaka kumi itatumika tena hela ya kutafuta watu wenye ujuzi kwa kuwa huyu mwombaji atastaafu karibu.

    Ila hiyo sio mada langu hasa ni hili hivi Mtu akiwa na ujuzi wa Miaka kumi ataleta mabadiliko gani katika shirika si ndio maana hatuendelei kwa sera zetu zile zile kiongozi yupo madarakani tokea kupata uhuru?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 26, 2013

    hii ni kwa sababu elimu yenyewe watu wanaipata ki-manati manati.mtu yuko chuoni anaomba hela za field hapati au hela yenyewe inatosha labda wiki mbili.Na hapo ndio imetoka.Wewe unadhani huo uzoefu wa kazi utaupataje.Watanzania tulio wengi tunajifunzia kazini,baada ya kuhitimu,ndio maana waajiri wanaweka swala la uzoefu.Hapo mtu anakuwa ameshacheua madesa.Ila nao wamezidi....miaka kumi?

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 27, 2013

    nafasi ya DG SUMATRA aliiweza sana mtu anaitwa Israel SEKIRASA. Huyu baba namkumbuka akijibu maswali very professional. Sijui yuko wapi siku hizi huyu genuine leader maybe arudi atunusuru na hizi ajali zisizokwisha.

    mdau
    ubungo

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 29, 2013

    wewe uliyesema SEKIRASA hujui unaongea nini watafute wafanyakazi wa SUMATRA watakuelezea sifa za huyo professional wako SEKIRASA. watafute wafanyakazi wa SUMATRA wakusimulie vizuri.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...