MBEYA MANAGEMENT CONSULTANTS CERTIFIED ACCOUNTANTS IN PUBLIC PRACTICE
Tunatangaza nafasi ya kazi ya mwasibu aliyehitimu chuo kikuu na kupata shahada au stashahada ya Accountancy
Vigezo:
Awe na GPA isiyopungua 3.2 points
Awe na Advance Diploma in Accountancy or B.Com in accountancy or Bachelor of Accountancy or Bachelor of Accountancy and Finance.
Mwombaji atume application letter, CV, Pamoja na attachment za vyeti copy kwenda kwenye email address: swayzlight@yahoo.com
or gstanzanie@yahoo.com
Mwisho wa maombi ni tarehe 2/08/2013.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...