Naibu waziri wa maji Dk Bilinith Mahenge akizungumza na wafanyakazi wa
mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi (hawapo
pichani) alipotembelea mamlaka hiyo.
Mkurugenzi mpya wa mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini
Moshi(MUWSA) Mhandisi Cyprian Luhemeje akisoma taarifa kwa naibu
waziri wa maji Dk Bilinith Mahenge alipotembelea mamlaka hiyo.
Meneja fedha na utawala wa mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira
mjini Moshi (MUWSA) Joyce Msiru akijitambulisha kwa naibu waziri wa
maji Dk Bilinith Mahenge hayupo pichani wakati wa kikao chake na
wafanyakazi wa mamlaka hiyo.
Afisa mapato wa mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi
(MUWSA) brucevictor Sangawe kijitambulisha kwa naibu waziri wa maji Dk
Bilinith Mahenge hayupo pichani wakati wa kikao chake na wafanyakazi
wa mamlaka hiyo.
Wafanyakazi wa mamlaka ya mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira
mjini Moshi (MUWSA) wakifuatilia hotuba ya naibu waziri wa maji Dk
Bilinith Mahenge alipotembelea mamlaka hiyo.
Waandishi wa habari wakifuatilia hotuba ya naibu waziri wa maji Dk
Bilinith Mahenge alipotembelea mamlaka ya maji safi na usafi wa
mazingira mjini Moshi(MUWSA).Picha na Dixon Busagaga wa globu ya jamii Moshi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...