Naibu waziri wa maji Dk Mahenge akiangalia na kupokea maelezo toka kwa
wafanyakazi wa MUWSA katika chanzo cha maji cha Nsere mkoani
Kilimanjaro.
Chumba maalumu kwa ajili ya matibabu ya maji katika chanzo cha maji
cha Nsere mkoani Kilimanjaro.
Naibu waziri wa maji Dk Mahenge akiangalia na kupokea maelezo toka kwa
wafanyakazi wa MUWSA katika mradi wa kisima cha maji kinachochimbwa
katika eneo la Longuo manispaa ya Moshi.
Mitambo ya kuchimbia kisima katika eneo la Longuo mradi unaosimamiwa
na mamlaka ya maji sai na usafi wa mazingira mjini Moshi( MUWSA).Picha na Dixon Busagaga wa globu ya jamii Moshi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...