Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye  akifuturu pamoja na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kigoma, Dk.Amani Kaborou,Katibu wa CCM Mkoa wa Kigoma Mohamed Nyawenga na Mbunge wa Manyovu Albert Obama.
 Baadhi ya Mabalozi wa nyumba kumi na wakazi wa Kigoma mjini wakifuturu leo 31Julai 2013 katika ofisi za CCM wilaya ya Kigoma Mjini.
 Baadhi ya Mabalozi na wakazi wa Kigoma mjini wakipata futari
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza machache baada ya kufuturu na Mabalozi wa nyumba 10 ambapo alisisitiza Watanzania kutunza amani waliokuwa nayo.
 Sheikh Mustafa Halfan Kiumbe akisema maneno machache kabla ya kumkaribisha Sheikh Mkuu wa Kigoma
 Katibu wa NEC itikadi na Uenezi akishiriki dua iliyoongozwa na Sheikh Hassan Idd Kiburwa leo baada ya kufuturu na mabalozi wa nyumba 10 wa Kigoma mjini.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akisalimiana na baadhi ya mabalozi wa nyumba 10 kutoka Kigoma mjini ambao alifuturu nao pamoja.
Wajumbe wa kamati ya utekelezaji kutoka wilaya ya Kigoma mjini wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kumaliza kufturu .

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. KWA STAILI HIO TU BASI KIGOMA MJINI MMESHINDA CCM. HAO MASHEHE WANAPENDA MAMBO HAYO HASA UJIJI

    ALL THE BEST MKISHINDA LAZIMA NA WAO MUWAKUMBUKE, ANGALAU KWA KUWATENGENEZEA BARABARA ZA LAMI HAPO KWAO

    ReplyDelete
  2. Mdau wa kwanza Wanyamwezi walisemaga CCM Pambalama, Poteleli CCM wee, Poteleli CCM Pambalama!

    CCM Jembe wewe Mudau!

    ReplyDelete
  3. Mhe.Nape Nnauye bonge la Sheikh!

    Kwa kweli Kanzu imemkaa vyema sana.

    Endelea na kazi Katibu Nape Nnauye.

    Wewe Mdau wa kwanza Maborn town Kigoma Mjini hawawezi kuwa Upinzani!

    Si unaona Mjanja Dr. Kaborou amesha jump kuingia CCM kitambo tu?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...