Makamu wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania(TBF) Phares Magesa leo asubuhi akiongea na wapenzi wa michezo kupitia Radio kuhusu maendeleo ya Mchezo huo nchini ikiwemo ziara ya mchezaji Nyota wa NBA Steve Curry ambae ataendesha clinic ya vijana wadogo 100 tarehe 1 Aug, viwanja vya Don Bosco Oysterbay, wote mnakaribishwa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 31, 2013

    steve curry anafanya haya...sasa ndugu yetu thabeet anafanya nini????

    ReplyDelete
  2. Jina lake ni Stephen "Steph" Curry SIO STEVE.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...