Rais Jakaya Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi ujenzi wa barabara ya Kagoma-Lusahunga katika wilayani Biharamulo.
Rais Kikwete akipiga picha ya kumbukumbu na wananchi wa Ngara baada ya kuzindua kivuko cha MV Ruvuvu katika mto Rusumo Rais Kikwete akishiriki kupiga ngoma na kikundi cha utamaduni cha Ngara wakati wa uzinduzi wa kivuko cha MV Ruvuvu katika mto Rusumo wilayani Ngara Rais Kikwete akisimikwa kuwa chifu wa Wahaya na kukakabidhiwa mgolole na silaha za jadi za Wahaya katika sherehe ya kuzindua wilaya mpya ya Kyerwa.Wananchi wakimshangilia Rais Kikwete aliposimama kwa muda kuwasslimia wilayani Karagwe akielekea Rusumo kuzindua kivuko cha Ruvuvu
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
i like the way you guys work as team,this shows how president kikwete leadership is going to hit back election 2015,so chadema what we need now, is to look alternatives strategy of dealing with our policies to bring changes to our country.may god bless TANZANIA
ReplyDeleteMaweeeeee!
ReplyDeleteMaweeeeee!
ReplyDeleteNyegera waitu Nyerere wa Tanzania( wahaya kila rais huwa wnamuita Nyerere.) Rais akitaka kupata kura nyingi kutoka Kagera 2015, inatakiwa ajiite Nyerere.
ReplyDeleteInapendezaje. Lakini wahaya huwa wakarimu sana. Ile tabia yao ya kujututumua husaidia kuonekana wakarimu. Maana lazima mgeni uone kuwa umetendewa vema kumbe unaonyeshwa kuwa wanaweza.Mungu wabariki wahaya pamoja na kuwa walitolewa kwenye network ya uongozi wa siasa lakini hawakwepeki.
infwakti nakuunga mkono iwe mushaija/muhisiki. Unajua, Nyerere ndio aluharibia, katutoa kwenye network ya siasa na kufanya mkoa wetu kuwa absolutely poor. Anyway, tutarudi kwa kishindo, ili tuweze kuikomboa Tanzania kwenye umaskini. Haiwezekani mkoa wenye idadi kubwa ya watu wenye PhD uwe na watu maskini hivi.
ReplyDeletenilikuwa narepresenti.
Hahahahahahaha !
ReplyDeleteRugemalira Ruta Ruta hapo juu umesasambua ukweli hadi nimecheka saana.
Sasa kilichobaki ni kuweka dreams into reality mgeuze hizo PhD zenu kuakisi kinachostahili huko eneo lenu, ni kiasi cha kutoa Call for Papers ili kila msomi 'Nshomire' a Present paper lake na Matekelezo yafanyike.
Mhe. Raisi Jakaya Kikwete upo huko ukongoni kona za chaki Mpakani wa Tanzania na Rwanda.
ReplyDeleteUnaonaje uchomokee hapo Boda wende hadi Kigali kumsalimu nduguyo Paul Kagame?