Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 23, 2013

    HIVI KAZI YA KUSAJILI MTANZANIA HATUWEZI KUIFANYA WENYEWE HADI TUWE NA HAO UNICEF AU WAKANADA??? SASA SIYE KAMA WATANZANIA TUNAWEZA LIPI? AU NCHI BADO HAIJAWA HURU???

    ReplyDelete
  2. yaani natingisha kichwa bila kuamini haya ninayoyasoma hapa !! Tunashindwa kuendesha shughuli za kuandikisha na kurekodi uzazi wa watoto wetu mpaka tuombe msaada wa nje ? !!!! Aibu kubwa hii jamani, aibu kubwa mnoooo...wale watu wa uzazi na vifo tunaowajua toka enzi zile za mwalimu wako wapi ? Aibu hii isiyo na mfano...nchi huru inashindwa hata kuendesha mambo msingi bila msaada wa vijihela vya wazungu ? !! Tuache usanii na mzaha mzaha kataika kuendesha nchi...mh yangu macho !!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 24, 2013

    Ben,nakubaliana na wewe, lakini hii ni kwasababu wewe na wengine ambao mngeweza kusaidia hilo,mmekimbia nchi... Ni kweli hata kama ukirudi, watz hawatakupa jukumu hilo, watawapa wazungu!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...