Home
Unlabelled
UCHOKOZI WA KING KINYA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Lkn, atakayecheka mwishoni ndiye mshindi, tuwe makini na hawa jamaa, kwani hawana rafiki wa kudumu, na kwako maslahi mbele.
ReplyDeletehamtuwesiiiiiiiiiii! sie ndo wabongo bhana chesea sie weye museveni, Uhuru, Kagame? sasa Ubama kaja kwetu nyie mlie tu! pambaf!
ReplyDeleteKama mchoraji wa katuni wa zamani napenda kumfagilia King alivyo mpatia Mseveni na Kagame
ReplyDeleteKama mchoraji wa katuni wa zamani napenda kumfagilia King alivyo mpatia Mseveni na Kagame
ReplyDeleteThis cartoon reflects the reality. Good thinking!
ReplyDeleteSidhani kama kinachooneshwa kwenye hizi picha ni ukweli wa mambo, kwani ni utoto! Kwa waTZ kufikiria hivyo ni utoto, na kwa wengine kuwa na kijicho ni utoto vilevile! Nchi (au hata mtu binafsi)inajengwa na "who we are" sio "who knows you, or who you know". Nahisi kitakachochorwa sasa ni bakuri ya...
ReplyDeleteUtani wa ngumi huu
ReplyDeleteMaendeleo yote yanakwenda bongo na sisi usitusahau.
ReplyDeleteJamani Obama, Mjaluo hata Tanzania pia wapo, kilichowanyima kuvuka boda kuja kusalimia nini... Ukisikia harufu ya pilau kwa jirani unangoja kukaribishwa kweli? Hawa majirani zetu jamani wawe tu wapole, isitoshe si tayari kuna barabara zenye majina yao eg Kenyatta Road....Sasa sabasaba si wana mabanda, kwani mwaka huu hawatakuja au?
ReplyDeleteAnony wa kwanza ninakuunga sana mkono. Watu wengi hatuchukuwi muda wa kujifunza tabia za watu au hata historia za watu mbalimbali. Huu ni upofu mkubwa. Mtu asiyetaka kujifunza ni mvivu na pia hatataka kufanya kazi ya uzalishaji. Mtu wa tabia hii ni ombaomba ambae hufurahia misaada ya kutupiwa. LAKINI PIA HAJUI KUWA HIYO MISAADA YA KUTUPIWA SIO BURE BALI SIKU MOJA ITAMTOKEA PUANI. URAFIKI HAUPO.
ReplyDeleteWakenya bwana imara. Wana amua mambo yao hakuna utegemezi tegemezi. Hii cartoon wanatusikitikia tunavyo bakwa
ReplyDelete