Mhe.Amina Salum Ali , Balozi wa Umoja wa Afrika nchini Marekani akibadilishana mawazo na Mhe Liberata Mulamula Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani na Mexico mara baada ya uzinduzi wa ripoti mbili za Umoja huo hafla iliyofanyika Washingtton DC jana Jumanne Julai 30,2013.
Balozi Amina Salum Ali na Balozi Liberata Mulamula wakiwa katika picha ya pamoja na Afisa Ubalozi wa Tanzania Washington DC Suleiman Saleh.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...