Washindi wa Tuzo za Habari za TANAPA wakiwa nje ya nyumba ya Rais wa Kwanza mzalendo Nelson Mandela jijini Johannesburg, Afika ya Kusini. Kutoka kushoto ni Festo Sikagonamo (ITV), Albano Midelo (Nipashe), Phinias Bashaya (Mwananchi), Lilian Shirima (TBC 1) na Alex Magwiza (TBC Taifa).
Washindi wa Tuzo za Habari za TANAPA wakiwa na mwanahabari kutoka Reuters aliyetega camera yake nje ya nyumba ya Mzee Nelson Mandela.
Washindi wa Tuzo za Habari za TANAPA wakitembelea Jengo la Mahakama ya Katiba Johannesburg.
Lilian Shirima wa TBC 1 akiwa amembeba kitukuu cha Mzee Nelson Mandela mara baada ya kutembelea nyumbani kwa Winnie Mandela.
Washindi wa Tuzo za Habari za TANAPA wakiwa nyumbani kwa Winnie Mandela.
Festo Sikagonamo akiangalia kwa umakini kitanda kilichokuwa kikitumiwa na Mzee Nelson Mandela.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 26, 2013


    HIVI HAO "WASHINDI" WANGEKUWA WAISLAMU WATUOU KAMA WALIVYO HAO WAKRISTO WATUPU KELELE ZAKE ZINGEKUWA NYINGI

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 27, 2013

    Haikuwa shindano la Vitabu vya Dini: Msahafu wala Biblia. Kama busara haipo basi, Usilete chokox2.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...