Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara
akizungumza na aliyekuwa Mkurugenzi Mkazi wa UNESCO Tanzania Bibi Vibeke
Jensen kulia alipotembelea ofisini kwa Waziri leo jijini Dar es Salaam
kwa ajili ya kumuaga na kushukuru kwa ushirikiano ulioonyeshwa na Waziri
Mukungara muda wote wa uwakilishi wake hapa nchini.Kushoto ni
Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Utamaduni Profesa Hermas Mwansoko.
Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara
akizungumza na aliyekuwa Mkurugenzi Mkazi wa UNESCO Tanzania Bibi Vibeke
Jensen alipotembelea ofisini kwa Waziri leo jijini Dar es Salaam
kwa ajili ya kumuaga na kushukuru kwa ushirikiano ulioonyeshwa na Waziri
Mukungara muda wote wa uwakilishi wake hapa nchini, wa kwanza kulia ni
Mtaalam wa Elimu kutoka UNESCO Abdoul W Coulibaly, Kushoto ni
Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Utamaduni Profesa Hermas Mwansoko.
Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara (Kushoto)
akizungumza na aliyekuwa Mkurugenzi Mkazi wa UNESCO Tanzania Bibi Vibeke
Jensen alipotembelea ofisini kwa Waziri leo jijini Dar es Salaam
kwa ajili ya kumuaga na kumshukuru kwa ushirikiano ulioonyeshwa na Waziri
Mukungara muda wote wa uwakilishi wake hapa nchini.
Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara
(Kushoto) akiagana na aliyekuwa Mkurugenzi Mkazi wa UNESCO Tanzania
Bibi Vibeke
Jensen alipotembelea ofisini kwa Waziri leo jijini Dar es Salaam
kwa ajili ya kumuaga na kumshukuru kwa ushirikiano ulioonyeshwa na
Waziri
Mukungara muda wote wa uwakilishi wake hapa nchini.Picha zote na Frank Shija - Maelezo.
Huyu mama staili yake ya kusuka huwa inanivutia, anaonekana hana makuu.
ReplyDeleteNampongeza kwa niaba ya wasiopenda makuu.