Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza katika majumuisho
ya ziara yake ziara ya mkoa wa Njombe,
Julai 14, 2013. Kulia
ni Mkuu wa mkoa wa Njombe,
Kapteni Msangi. Na wa wa pili kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa huo, Deo
sanga.
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda akizungumza wakati Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda alipopokea taarifa
ya mkoa wa Ruvuma baada ya kuwasili kwenye Ikulu Ndogo ya Songea kwa ziara ya
siku nane mkoani humoJulai 14,2013.Wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma,
Thabit Mwambungu.
Mke wa Waziri
Mkuu, Mama Tunu Pinda akizungumza wakati Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipopokea taarifa ya mkoa wa Ruvuma
baada ya kuwasili kwenye Ikulu Ndogo ya Songea kwa ziara ya siku nane mkoani
humoJulai 14,2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na Mkuu wa wilaya
ya Njombe, Sarah Dumba baada ya kumaliza ziara ya kikazi mkoani Njombe Julai
14, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...