TUTAZZZ! Cheki alama ya tahadhari ili kupunguza mwendo kabla ya kukwea tutazzz barabara ya Korogwe, labda uwe na bodaboda utaiona!!  Maana haina kiakisi mwanga waka nini hivyo usiku kazi ipo. Ujenzi wa barabara maeneo ya Korogwe ukiendelea. Picha na mdau Florence Lawrence 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 09, 2013

    wahusika kwanini wasitafute hata kipande cha kibao au bati wakatumia kuchora hiyo alama kama wanavyofanya maeneo mengine wanapojenga barabara

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 10, 2013

    T.I.A - This Is Africa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...