Kipindi cha cha BONGO VIEWS ndani ya Global Entertainment and News Network (GENN) iliyopo Kansas City nchini Marekani, siku ya jumamosi Aug 24, 2013 kilizungumzia kuhusu athari za madawa ya kulevya Nchini Tanzania
Kipindi cha Bongo Views kitaendele tena hewani LIVE wiki hii siku ya Jumamosi Aug 30, 2013 MIDA ya Saa 5: PM kwa Saa za Marekani ya kati. Saa 6:PM jioni kwa Saa za EST US. Na Tanzania Saa 1:AM Usiku kwa wale wanaopenda kukesha wasikose kutembelea.
MADA: KUHUSU MUUNGANO
kuchangia kwa njia ya simu ..Utapiga simu number (913) 662-1190


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...