Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala akiwa na Bi. Uma Wijnants Mkurugenzi Mkuu wa shirika la Kerk in Nood linalosaidia shughuli za kijamii ulimwenguni. Balozi Dr. Kamala amelishukuru shirika hilo kwa misaada mbalimbali ambayo limekua likitoa na ameliomba kutoa misaada hiyo kwa taasisi mbalimbali za Tanzania zinazofanya kazi ya kupambana na umaskini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...