Gwaride Rasmi likitoa heshima na kupiga wimbo wa Taifa wa Tanzania na Ethiopia
 Mhe. Balozi Naimi Aziz akiwa na Mkuu wa Itifaki wa Ethiopia
 Mhe. Balozi Naimi Aziz akiweka sahihi kwenye kitabu maalum cha wageni
 Mhe. Balozi Naimi Aziz akiwasilisha hati za utambulisho kwa Mhe. Girma Wolde Giorgis, Rais wa  Ethiopia
 Mhe. Balozi Naimi Aziz akifanya mazungumzo na Rais Girma Wolde Giorgis wa Ethiopia
 Mhe. Balozi Naimi Aziz akikaribishwa na Maafisa Ubalozi katika ofisi ya Ubalozi
 Picha ya pamoja na Maafisa wa Ubalozi
Mhe. Balozi Naimi Aziz akifanya kikao cha kwanza na Maafisa wa Ubalozi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Africa tuna Marais wachovu kwa hali na namna,si mchezo! Woga wa kuwapa vijana uongozi kulikoni?

    ReplyDelete
  2. Hongera sana Mhe. Balozi Naimi Aziz, tunakutakia kila la kheri katika majukumu mapya uliyopewa na Mhe. Rais.

    ReplyDelete
  3. mhhh ikulu ya Ethiopia wameshindwa kununua red carpet au vipi?

    Mbona wametandika mswala au Carpet la msikitini au macho yangu mabovu?

    ReplyDelete
  4. Hongera sana Naimi, Mungu akuongoze na ufanye kazi yako vizuri, na uzidi kwenda juu, am really proud of you!. Former colleague from Kibosho Girls Sch

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...