Mkurugenzi Mtendaji wa Benki  ya CRDB, Dk. Charles Kimei, akizungumza wakati wa wakati wa uzinduzi wa mikopo ya nyumba ijulikanayo kwa jina ya ‘Jijenge’ itakakayoanza kutolewa na benki hiyo. Uzinduzi huo ulifanyika jijini Dar es Salaam. 
Meneja wa benki ya CRDB anayeshughulikia mikopo ya nyumba 'Jijenge,' Silas Katemi akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa mikopo hiyo.
 Baadhi ya maofisa wa benki ya CRDB wakiwa na waalikwa katika hafla hiyo. Kwa habari kamili na picha BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. No wonder the Tanzanite account isn't doing well eish!

    ReplyDelete
  2. Udumu sana Mr Kimei. Mungu akuzidishie umri mrefu ili ulete maendeleo zaidi kwa watanzania.

    ReplyDelete
  3. I kid you not only in Tanzania watu hawana haya kiasi hiki.....Tanzanite account oyeeeeee

    ReplyDelete
  4. Hivi mnahitaji mtu alete au aweke rehani hatu ya kiwanja hapo crdb akipata mkopo au? Ni salary slip na thamani ya nyumba yaani gharama tu. Tuambieni ribe ikoje. Masharti nafuu, mkoo juu. Hongereni sana. Sasa tutajenga viwanja tumenunua miaka mingi hatuna mihela.

    ReplyDelete
  5. Wow congrats!Great incentive however interest rate of 18% compared to Europe less than 10% still very high. Without insurance it was risky so 18 or even 25% was okay but since at long last you have introduced insurance like developing countries then consideration should be given to lower the interest rate. Thank you.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...