Mkurugenzi wa uendeshaji wa benki ya FBME, Nassor Dachi (kulia) akikabidhi sadaka ya chakula kwa Bi Kazija Haji huko kisiwa cha Tumbatu Zanzibar jana.
picha na Martin kabemba.
Mfanyakazi wa benki ya FBME tawi la zanzibar, Abubakar saleh (kulia) akikabidhi sadaka ya chakula kwa bi mizaNyange huko Tumbatu jana. Msaada huo umetolewa na benki hiyo.

Wandishi wa habari kutoka ZBC Television Zanzibar, Saleh Masoud (kushoto) Abdalla Masangu wa Zanzibar leo na Munir Zakaria wa Chanel Ten (kulia) wakiwa katika msafara wa kutembelea kisiwa kidogo cha Tumbatu kutoa msaada wa sadaka pamoja na benki ya FBME tawi la zanzibar. Picha na Martin kabemba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Usalama kwanza. Jamani mbona hawa waandishi wa habari na abiria wengine hawana
    "life jacket" wakati wapo ktk boat? Hii ni hatari.

    ReplyDelete
  2. wote wanajua kupiga mbizi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...