Mgeni rasmi katika mpambano wa Kimataifa wa Ubingwa wa WBF,Bondia bingwa wa Dunia wa Uzito wa Juu wa Zamani, Francis Botha 'White Buffalo' (katikati) akiwa pamoja na wenyeji wake baada ya kupokelewa alipowasili katika uwanja wa kumataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaas leo.kushoto ni Raisi wa TPBO,Yassini Abdalla na Rais wa World Boxing Federation ,Howard Goldbeg pamoja na Kocha wa Mchezo wa Masumbwi Nchini,Rajabu Mhamila 'Super D' .Mpambano wa ubingwa wa Dunia wa chama hicho utafanyika kwa mara ya kwanza kwa kuwakutanisha Mabondia,Fransic Cheka wa Tanzania na Phil Williams wa Marekani August 30 katika ukumbi wa Diamond Jubilee.

BONDIA WA DUNIA FRANCIS BOTHA (WA PILI KUSHOTO) AKIWA NA JAY MSANGI RAISI WA WBF ,HOWARD GOLDBEG,YASSINI ABDALL, NA KOCHA WA MCHEZO WA MASUMBWI NCHINI RAJABU MHAMILA 'SUPER D'

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...