Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na  Wabunge wa Upinzani  kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Agosti 28, 2013.  Kustoka kushoto ni Mbunge wa Kigoma Kusini-NCCR-Mageuzi, David Kafulila, Mbunge wa Arumeru Mashariki-Chadema, Joshua Nassari na Mbunge wa Ilemela-Chadema, Highness Kiwia.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitetana Mbunge wa Ilemela-Chadema, Highness Kiwia kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma. Augosti 28, 2013. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mbunge wa Kahama-CCM,James Lembeli (kushoto) na Mbunge wa Mafia-CCM, Abdulkarim Shah (katikati) kwenye Ofisi za Bunge Mjini Dodoma Agosti 28,2013.
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Peramiho-CCM, Jenista Mhagama kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Agosti 28, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na Makamu wa Pili wa rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi, Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma Agosti 28, 2013. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...