Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mzee James Mapalala baada ya kumuapisha Msajili wa Vyama vya Siasa mpya Jaji Francis Mutungi (kushoto) Ikulu jijini Dar es salaam jioni hii

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Msajili wa Vyama vya Siasa Mstaafu Jaji Francis Mutungi (kushoto) na Msajili wa Vyama vya Siasa Mstaafu Mhe John Tendwa katika picha ya kumbukumbu baada ya kumuapisha Jaji Mutungi Ikulu jijini Dar es salaam leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hongera sana ( My school mate ) Muheshimiwa Jaji Francis Mutungi kwa kupata wadhifa huo, nakuombea mungu zaidi akupe ufanisi ktk majukumu yako ya kila siku
    keep it on mkuu, usichoke kuwatumikia wananchi kwa moyo wako wote na uadilifu, We are proud of you nkuu,Wishing you all the best.
    Abbu Omar, ( Mwanamuziki ) Tokyo, Japan.

    ReplyDelete
  2. Hata tendwa aliapa.

    ReplyDelete
  3. I fail to comprehend the unnecessary beaucracy in Bongo, do we really need a full time Registrar of parties? This could be easily be done by the Registrar of Companies etc, all these parties have their constitutions and could abide to it just like any other NGO or Company. We know how to waste resources in Bongo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...