Mhe. Membe akimkabidhi shada la maua Dkt. Tax kwa niaba ya Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje mara baada ya kuwasili Wizarani hapo. |
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. John Haule nae akimkarisha Dkt. Tax kwa furaha Wizarani. BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI |
I am personally excited & moved by this yet another milestone achievement women of Tanzania are making locally, regionally & internationally.
ReplyDeleteWanawake wakithubutu wanaweza
Hongera sana Stegomena.
Mama Tax,
ReplyDeleteUtukumbuke tulikuwa wote Tanzanet miaka ile...