Pichani wa tatu shoto,Mratibu wa Kigoma All Stars-Lekadutigite,Bwa. Sam Odera akimkabidhi kiasi cha fedha Bi.Aisha Amri kwa ajili ya kusaidia Watoto Mayatima wa Burundi,tukio hilo fupi limefanyika leo jijini Dar.Shoto ni wanaoshuhudia tukio hilo ni Bwa.Omar Mwinyi,Manira Mbona na mwisho kabisa kulia ni Maimuna Msangi.Kundi la Kigoma All Stars-Lekadutigite linaloundwa na wasanii mbalimbali mahiri akiwemo Dimaond,Ommy Dimpo,Chege,Baba Levo,Mwasiti Almas,Rachael,Abdul Kiba na wengineo wanatarajiwa kufanya ziara kubwa ndani ya nchi ya Tanzania,Rwanda,DRC-Congo,Kenya pamoja na Burundi
Home
Unlabelled
Kigoma All Stars-Lekadutigite kufanya ziara kubwa nchini Rwanda,DRC-Congo,Kenya na BUrundi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Haina maana yoyote hiyo safari yenu nasijui kama mtaludi sarama kwani hapa nyumbani hamna watoto yatima mijitu mingine bwana hovyo,kujipendekeza tuu mitusi yote aliotoa yule nanihii lakini bado tu mbona wao wenzenu hawajipendekezi kama nyie? Hii kuwa mwanamuziki bila ya kwenda shule hovyo sn,
ReplyDeleteNi kweli kabisa mdau, kwa hali ya kisiasa ya sasa mi nawashauri ahirisheni hii ziara, someni nyakati. Msijimalize wenyewe, si mmepata habari za askari wetu aliyefia kongo baada ya mashambulizi kutoka lili kundi lenye support ya Rwanda!
ReplyDeleteThe kalija Inc.
Anony hapo juu jaribu kutuliza akili yako na kupambanua mambo kabla ya kucomment
ReplyDeleteNaungana na Mdau wa Kwanza.
ReplyDelete''Sijui kama mtarudi salama nyumbani Tanzania''!
Yote tisa kwa Kagame mtalima juu ya mawe!!!,
Si mnaona Majeshi yetu ya Kulinda Amani ya UN yanavyo kufa Kongo-DRC na Darfur?
Kote angalau nafuu wasiwasi wangu ni mtakapo fika Jijini Kigali!
ReplyDeleteMnhhh!,,,,mutakufwa!!!