Mkurugenzi
Mtendaji wa Kiwanda cha Konyagi cha Tanzania Distilleries Limited
(TDL), David Mgwassa (kushoto), akieleza mafanikio ya TDL ikiwa ni
pamoja jinsi inavyolipa kodi serikalini ambapo kwa mwezi hulipa sh. bil.
7. Mgwassa alikuwa akizelezea mafanikio hayo wakati wa semina ya
wahariri wa vyombo vya habari ya kuwajengea uwezo wa kuthamini bidhaa za
ndani leo kwenye Hoteli ya New Africa, Dar es Salaam.Kulia ni mgeni
rasmi katika semina hiyo, Mbunge wa Wilaya ya Ilala ambaye pia ni
Mwenyekiti wa Bunge la Tanzania, Mussa Zungu.
Mgeni rasmi katika semina hiyo, Mbunge wa Jimbo la Ilala ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bunge, Mussa Zungu, akitoa pongezi kwa Mkurugenzi wa TDL, David Mgwassa kwa kukipatia mafanikio makubwa kiwanda hicho.
Mkurugenzi wa Masoko wa TDL, Joseph Chibehe 9kulia) akielezea mbele ya wahariri, historia ya kinywaji cha Konyagi.
Seheumu ya wahariri wa vyombo vya habari waliohudhuria semina hiyo
Baadhi ya wahari walioalikwa kwenye semina hiyo, wakisikiliza kwa makini wakati Chibehe aielezea historia ya TDL.
Mgeni
rasmi, Mussa Zungu 9katikati waliokaa) akiwa na MD wa TDL ,
Mgwassa, Mkurugenzi wa Masoko, Chibehe katika picha ya pamoja na
wahariri wa vyombo vya habari nchini.PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Mgeni rasmi katika semina hiyo, Mbunge wa Jimbo la Ilala ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bunge, Mussa Zungu, akitoa pongezi kwa Mkurugenzi wa TDL, David Mgwassa kwa kukipatia mafanikio makubwa kiwanda hicho.
Mkurugenzi wa Masoko wa TDL, Joseph Chibehe 9kulia) akielezea mbele ya wahariri, historia ya kinywaji cha Konyagi.
Seheumu ya wahariri wa vyombo vya habari waliohudhuria semina hiyo
Baadhi ya wahari walioalikwa kwenye semina hiyo, wakisikiliza kwa makini wakati Chibehe aielezea historia ya TDL.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...