Home
Unlabelled
kwaya ya IYF yamuimbia JK wimbo wa Malaika
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Usishangae wachinaKuimba kipare lakini wanachokitaka kwetu wakipate.
ReplyDeletehapo umeosema ndugu yangu,wapo tayari kwa lolote mradi wapate watakalo,wakati sis tukishangaa wao wameshamaliza walilojia,akili kichwani
ReplyDeletehahaaa.... beautiful voices :) :) :)
ReplyDeleteIla kuna kamstari wanachapia hahaaa
"Nasindwa" na mali sina weee
Well done kwa kweli
Vipi kuna mtanzania anayeweza hata kutamka neno "malaika" kwa kichina?
ReplyDeleteha ha ha ha hahaaaa Hapo wana akili kicwani wanajua wimbo hauendi bure.Chazea makapitalist weye uchekwe
ReplyDeletegood
ReplyDeleteAnon hapo juu
ReplyDeletendio neno malaika kwa kichina linaitwa Tianshi(天使)
Uliza swali jingine mi jomba chilingi nawesa sema yote.
Katembo Mapunda