Kwaya ya Uinjilisti Usharika wa kilutheri kijitonyama inatarajia kwenda kuwafariji na kuimba na watoto yatima wa kituo cha Kurasini siku ya Jumapili tarehe 1/08/2013
Hivyo tunaomba kwa atakayeguswa kuleta msaada wowote kanisani kijitonyama ofisi ya mwinjilisti, pia tunarajia kufanya uzinduzi wa album yetu mpya iitwayo Namtangaza kristo mapema mwezi wa Tisa tukiwa katika matukio ya kuelekea kuadhimisha Jubilee ya miaka 25 ya kwaya yetu, kwa mawasilino zaidi tumia namba 0655 550 037 au 0712 218 551
Asanteni na karibu
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...