Geti kuu la hoteli ya kitalii ya Ledger Plaza-Bahari Beach jijini Dar es salaam ambayo imefunguliwa hivi karibuni na kuwa kivutio kwa wadau wa kila aina hasa siku za Jumapili na Sikukuu. Tofauti na hoteli kibao za ufukweni hapa kiingilio ni bure ila unatozwa huduma kama vile kutumia bwawa la kuogelea, chakula na michezo ya watoto
Home
Unlabelled
LEDGER PLAZA-BAHARI BEACH HOTEL DAR ES SALAAM KUMEKUCHA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Ankal,
ReplyDeleteDuh! Kweli wadau wa Bongo starehe ni tambarare, sie huku ughaibuni stress kibao kwa kubeba boxi bila mapumziko ya uhakika kama hayo ya bembezoni ya bahari.
Lazima nikitua Bongo niende moja kwa moja Ledger Plaza Bahari Beach jijini Dar-es-Salaam kwa mapumziko ya uhakika mabli kabisa na 'mihangaiko ya stress ya Ughaibuni.
Mdau
Ughaibuni.
Kaka michuzi huyo ni Daudi Lembuya aka Mr. Dee sio Dj venture
ReplyDeleteAnkal acha Ubahili!
ReplyDeleteSasa Mjomba masifuri yote unayo tengeneza kwenye kazi zako kutokea kule Ofisi yako Serikalini hadi kwenye Libeneke halafu wewe na Familia ktk Idd unawapeleka Hoteli ya kiingilio cha Bure?