Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya  Bia Tanzania (TBL),  ambaye pia ni Waziri Mkuu mstaafu, Cleopa Msuya (wa pili kulia waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wakurugenzi wa TBL pamoja na wanahisa baada ya Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Wanahisa wa kampuni hiyo, Dar es Salaam.Mkurugenzi Mtendaji wa TBL, Robin Goetzsche.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Robin Goetzsche (wa pili kushoto), akijibu moja ya maswali yaliyoulizwa na Wanahisa katika Mkutano Mkuu wa  40 wa Mwaka wa Wanahisa wa kampuni hiyo, jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Company Secretary wa TBL, Huruma Ntahena, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa TBL, ambaye pia ni Waziri Mkuu mstaafu, Cleopa Msuya na Mshauri wa kampuni hiyo, Phocas Lasway.
 Ofisa Sheria wa TBL, Huruma Ntahena akifafanua kuhusu gawio la hisa kwa wanahisa mwaka huu.
 Baadhi ya wanahisa wakiwa katika mkutano huo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mbona wengine hatupati taarifa za mikutano?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...