Baadhi ya wasanii wa bendi ya msondo ngoma wakitumbuiza kwa mara ya kwanza baada ya mwanamziki mkongwe wa bendi hiyo muhidini Gurumo kustaafu kutoka kushoto ni Shabani Lendi,Hamisi Mnyupe,Saidi Mabera,Juma Katundu na Shabani Dede.
Baadhi ya wasanii wa bendi ya msondo ngoma wakitumbuiza kwa mara ya kwanza baada ya mwanamziki mkongwe wa bendi hiyo muhidini Gurumo kustaafu kutoka kushoto ni Shabani Lendi,Hamisi Mnyupe,Saidi Mabera,Juma Katundu na Mustafa Pishuu.
Wasanii wa bendi ya msondo wakiwajibika wakati wa onesho lao kutoka kushoto ni Abdul Ridhiwani,Eddo Sanga,Othumani Kambi na Juma Katundu 
Wasanii wa bendi ya msondo wakiwajibika wakati wa onesho lao kutoka kushoto ni Abdul Ridhiwani,Eddo Sanga,Othumani Kambi na Juma Katundu pamoja na Mustafa Pishuu 
Wasanii Hamisi Mnyupe kushoto na Romani Mng'ande wakiwajibika jukwaani. Picha na www.burudan.blogspot.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Ni uamuzi wa busara sana Maalim Sheikh Muhiddin ameufanya.

    Mwenyezi Mungu ampe nafasi nzuri ya kuutumia muda wake baada ya kustaafu kwa kumuelekea yeye Mwenyezi zaidi na kuomba Shufaa na Rehma kwake!

    Amiiiiiin.

    ReplyDelete
  2. Afadahli Sheikh arudi Masjid sasa!

    ReplyDelete
  3. Ni muhimu Kustaafu ktk kila kitu, Muziki, maji na Moshi Mzito kwa Mapumzioko mema!

    ReplyDelete
  4. Ktk Maisha ni Mafanikio makubwa sana binaadamu unapofanikiwa kuachana na:

    1.Uzinzi
    2.Ulevi
    3.Bangi
    4.Madawa
    5.Wizi

    Kiongozi atasaidia sana kuwaweka Vijana nyuma yake katika msitari mnyoofu!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...