Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Pereira Silima(wa pili kulia) akikata utepe
kuashilia uzinduzi rasmi wa Duty free shop ya Gereza Kuu Karanga, Moshi jana Agosti 23,
2013(wa kwanza kulia) ni Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja.
Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja akitoa maelezo mafupi kwa Mgeni
rasmi Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Pereira Silima kabla ya kumkaribisha
kuzindua rasmi Duty free shop ya Gereza Kuu Karanga, Moshi jana Agosti 23, 2013.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Pereira Silima( kulia) akiangalia jiwe la msingi
mara baada ya uzinduzi rasmi wa Duty free shop ya Gereza Kuu Karanga, Moshi jana Agosti
23, 2013(kushoto) ni Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Pereira Silima akiangalia baadhi ya bidhaa
zitakazokuwa zikiuzwa katika Duty free shop ya Gereza Kuu Karanga, Moshi jana Agosti 23,
2013 mara baada ya uzinduzi rasmi huku akiwa ameongozana na Meneja wa Duka hilo pamoja
na Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Pereira Silima( katikati) akiwa katika picha ya
pamoja na Kamishna Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja(wa pili kushoto)
pamoja na Viongozi mbalimbali wa Serikali wa Mkoa wa Kilimanjaro na Wakurugenzi wa
Transit Military Shop mara baada ya uzinduzi rasmi.
Kikundi cha kwaya ya Kina Mama wa Kambi ya Gereza Kuu Karanga Moshi wakitumbuiza
wakati wa hafla ya Uzinduzi rasmi wa Duty free shop ya Gereza Kuu Karanga mbele ya Mgeni
rasmi, Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Pereira Silima(hayupo pichani).
(Picha zote na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...