Mdau B.M. wa Washington DC ametweet ngoma hii ya Caiphus Semenya ya 'Angelina' na kutuomba tukumbuke enzi hizo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Ohhh miaka imesogea saana isipokuwa Rhumba tulilicheza sana, hebu angalieni kete kama hii.

    ReplyDelete
  2. Maisha na miaka ilivyopita unaweza kuandika Kitabu ama Sinema.

    Na sasa tumesha kula chumvi nyingi tunafuta majasho ya vipara nywele hata moja hatuna vichwani, Wazee ili kuufosi ujana uliotutupa mkono tunfanya Scrubs kwenye Masaluni ya wavualana wadogo na kushindana na Vijana, na wengi wetu tunapaka Super Black kuficha ''Bati vichwani'' A.K.A nywele nyeupe au mvi!

    Ni kweli nimemini Uzee hauna dawa!, muda ukifika ni bora uwe na busara zaidi na kustaafu.

    ReplyDelete
  3. Ohooo Mjomba unatukumbusha Misiba maana miziki hii ikipigwa tunawakumbuka Wandugu zetu ambao wengi waliokwisha tangulia mbele za Haki kwa Mwenyezi!

    ReplyDelete
  4. Mdau B.M. wa Washington DC nafikiri wewe una Gallery kubwa ama Library nzuri ya zile za kwetu za miaka ileee.

    Hebu peruzi pana lile goma walilipiga Ma-Black kwa kushirikiana wakiwa wengi kama ilivyofanywa 'we are the world kuhusu njaa na watoto wa Afrika' huko USA alipofunguliwa Mzee Nelson Mandela kutoka Gerezani.

    Ktk Video yake Wanamuziki hao walikuwa ktk Stadium kubwa sana wakiwa kama Washabiki wa Michezo na wakiwa na Picha Kubwa mikononi za Mzee Mandela akitajwa ktk wimbo wananyanyua picha hizo juu huku wakiimba.

    Lete kete hiyo please!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...