Ngoma ya 'Mizele' ya Mayoni mayaula naipenda sana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ankal umechoka kurukaruka majoka?Mambo ya Mr.Walker siyo?Kuna kundi moja la muziki kutoka kwa watani zetu wa jadi lilikuwa linaitwa THEM MUSHROOMS(Kwa sasa wanajiita Uyoga).Nyimbo zao zinakuwa adimu sana kwenye mitandao.Ankal,jaribu kwenda hapo RTD wakupatie album yao moja matata ya "At the Carnivore".Wanazo Kanda/Santuri nyingi hizi adimu,wewe ni 'mwenzao'.Kazi njema mkuu.

    David V

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...