Balozi wa Malaria ambaye pia ni Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania
(TFF), Leodger Tenga akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kupiga vita
ugonjwa wa malaria iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya maofisa wa NSSF wakiwa katika
uzinduzi huo.
Baadhi ya wadau waliohudhuria hafla hiyo.
Baadhi ya maofisa wa NSSF wakiwa katika
uzinduzi huo.
Balozi wa Malaria ambaye pia ni Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania
(TFF), Leodger Tenga akipeana mkono na Meneja Kiongozi, Uhusiano Huduma kwa Wateja wa NSSF, Eunice Chiume wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kupiga vita
ugonjwa wa malaria iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Meneja wa Mafao ya Matibabu wa Shirika la Taifa
la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Dk. Ali Mtulia akizungumza wakati wa hafla ya
uzinduzi wa kampeni ya kupiga vita ugonjwa wa malaria kwa kushirikiana na
Wizara ya Afya, Shirikisho la Soka Afrika (CAF) pamoja na NSSF.
mnafanya vizuri kuweka kikao cha kupigana na malaria lakini cha msingi hapo sio kuuza net biashara za bush kupunguza malaria ni kuua mazalio ya malaria. Ambapo ni kunyunyiziwa dawa kwenye maji yalio tuwama, kama ilivyokuwa enzi za mkoloni municipality city, nyumba hadi nyumba kutiwa dawa, taka zinachukuliwa kila sikuat least hapo mtakuwa mmefanya kitu other wise kikao kitakua ni cha kula pesa za wananchi.
ReplyDeleteNi kweli kabisa, lakini pia ni aibu. Pamoja na kujua kwamba kupiga vita mazalia ya mbu ndio ingestahili kupewa kipaumbele, kipaumbele cha kwanza na biashara ya vyandarua !
ReplyDeletePia msisahau kukusanya michango toka kwa waajiri mafisadi wanaokata wafanyakazi pesa lakini hawakilishi michango. Baadhi ya wakaguzi wenu wakifika kwenye maofisi wanapewa hela wanaondoka bila kufanya kilichowapeleka. Inawezekanaje mwajiri asipeleka michango ya wafanya kazi kwa miaka zaidi ya 2.???
ReplyDeleteHadhi yenu inashuka!!!!!