Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati ya utambulisho toka kwa Balozi Mteule wa Uholanzi
hapa nchini Mhe Jaap Frederiks Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 12, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Balozi Mteule wa Uholanzi hapa
nchini Mhe Jaap Frederiks baada ya kupokea hati zake za utambulisho Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 12, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea akimtambulisha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
Mhe Bernard Membe kwa Balozi Mteule wa Uholanzi hapa nchini Mhe Jaap Frederiks Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 12, 2013.
PICHA NA IKULU





Asante kwa picha na kutujuza!!!swali Balozi wa Tanzania kwa hapa uhollanzi anaripoti lini?wenzetu wako fasta mdau manziku simon jijini Amsterdam
ReplyDeleteHahahaha Manziku Simon Mzee wa Amsterdam tuliza mpira, Balozi atafika tu viza yenyewe bado hajagongewa isitoshe hata Itinerary bado hajashikishwa.
ReplyDelete