Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi Mdogo wa Oman Nchini Tanzania Mhe, Saleh Suleiman Al-Harith,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi Mdogo wa Oman Nchini Tanzania Mhe, Saleh Suleiman Al-Harith,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kujitambulisha leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Kenya Nchini Tanzania Mhe,Mutinda Mutiso,alipofika Ilkulu Mjini Zanzibar kumuaga Rais,akiwa amemaliza muda wake wa kazi Nchini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifuatana na Balozi wa Kenya Nchini Tanzania Mhe,Mutinda Mutiso,alipofika Ilkulu Mjini Zanzibar kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wake wa kazi Nchini.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.






Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...