Malkia wa Redd's Miss Ilala 2013, Doris Mollel
amkimkabidhi vitabu mwanafunzi Charles
Costantino ambaye alipokea msaada huo kwa niaba ya Shule ya Msingi Guluka
Kwalala, Jimbo la Ukonga, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Mollel alikabidhi
vitabu 30 vyenye thamani ya sh. 300,000. Wanaoshuhudia ni Miss Ilala namba
mbili Alice Issack (wa tatu kushoto), mshindi wa tatu Clara Bayo (wa pili
kushoto) na Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, Rehema Mketo.
Malkia wa Redd's Miss Ilala 2013, Doris Mollel akiwa na
wanafunzi baada ya kukabidhi msaada wa vitabu
30 vyenye thamani ya sh. 300,000 kwa Shule ya msingi Guluka Kwalala,
Jimbo la Ukonga, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.





Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...