KATIBU  wa Jumuiya ya Kiislamu nchini , Shekhe Ponda Issa Ponda akihutubia kwenye Kongamano la Kiislamu lililofanyika kwenye uwanja wa Shule ya Msingi Kiwanja Cha Ndege , Kata ya Saba Saba , Manispaa ya Morogoro, Jumamosi Agosti 10, 2013.
 
Shekhe Ponda Issa Ponda akihutubia kwenye Kongamano hilo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. watanzania wote kwa pamoja tuweni makini sana na viongozi wanaotaka kutugawa kwa visingizio vya dini au siasa. hakuna maali pa kwenda machafuko yakitokea tuwe makini sana tukatae kubaguliwa . mr. Ngatigwa wa morogoro

    ReplyDelete
  2. Hivi huyu ponda ni nani hasa tanzania na anamwakilisha mwislamu gani huyu hata adekezwe namna hii. anapata umaarufu wa bure kwa kuachwa huru wakati akitenda jinai. polisi acheni utani na amani ya nchi mtu kama ni wanted anaachiwaje apande jukwaani kisha ajichome kisu mwenyewe aseme kapigwa risasi. huyu ana ajenda toka rwanda ambako inasemekana ni kwao na pia wanahabari wa kimataifa wote ni wanyarwanda ndio maana kila baya wanalishobokea. anayebisha afuatilie kazi za mwandishi wa AFP aliyeko arusha anayeandika kwa kifaransa na kutupakazia sana. asipotupiwa macho tumeumia. na kama hana work permit na aondoke zake kama wenzie wa karagwe

    ReplyDelete
    Replies
    1. Acha hujua kwa kujifanywa wajua. Umeona anadekezwa?? Kwa kuwa mnabebwa bebwa kwa kujipendekeza. Wewe km uhamiaji fanya kazi yako km hayakuhusu shiiii
      Mungu ampe siha njema hakika chaguo la wengi.

      Delete
  3. Naona Anonymous #2 unashindwa kuelewa nini maana ya utawala bora. Nchi yetu tumejiwekea utaratibu yani tutaishi kulingana na hizo taratibu. Atakayeishi kinyume na utaratibu huo kuna taratibu za kufuata ambapo mahakama ndiyo inayotoa uamuzi kama kuna ukiukwaji wa utaratibu na mwananchi. Na hukumu inatolewa hapo mahakamani na si penginepo.

    Wewe anonymous umesema Sheikh Ponda kafanya kosa la jinai; japokuwa hujataja ni kosa gani la jinai ametenda, unachotakiwa kufanya ni kufungua kesi mahakamani. Utaratibu utaangalia kama kosa la jinai unalolisema ni kweli na hukumu inatolewa.

    Kwa kuhitimisha ni kwamba mtu yeyote hatakiwi kupigwa risasi; utaratibu upo ni jinsi gani risasi inaweza kutumika. Yani kama mwenza wako anayo silaha na anataka kukudhuru hapo silaha waweza tumia. Waweza soma zaidi ni wakati gani silaha yaweza tumika.

    Cha msingi ni kufuata utaratibu yani mahakamani ndiko kwenye hukumu na si vinginevyo. Tujifunze kuwa raia bora kwa kujua jinsi ya kushughulikia mambo na kufuata matamanio ya nafsi.

    Kazi njema

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ninashukuru kwa maelezo mazuri ILA mumshauri ponds mama kajichoma mwenyewe kisu ni kiss na mama kapigwa risasi atauwawa sasa maana kola jambo linapaswa kufikia mwisho.

      Delete
  4. Sasa gazeti la uingereza Leo laandika hivi Zanzibar acid attack: Hate cleric Sheikh Issa Ponda Issa shot and captured by police he serikali mbona haisemi kitu

    ReplyDelete
  5. Zanzibar acid attack: Hate cleric Sheikh Issa Ponda Issa shot and captured by police hii habari niya Leo kwenye gazeti LA the mirror

    ReplyDelete
  6. KWA NINI ASIMWAGIWE TINDI KALI NA YEYE. ASILETE FUJO HUYU MTU ASIPOANGALIWA ATALETA VURUGU NCHINI

    ReplyDelete
  7. Anony wa pili, tafadhali toa taarifa za huyo mnyarwanda kwa vyombo vya usalama (hasa TISS)ashughulikiwe. Hao watu wana ajenda mbaya sana na nchi yetu.

    ReplyDelete
  8. apande jukwaani kisha ajichome kisu mwenyewe aseme kapigwa risasi!?

    Kama Ponda ni mhalifu sheria ifuate mkondo wake.

    WATANZANIA TUJIZOESHENI KUFUATA TARATIBU BADALA YA HISIA ZETU HATA KAMA MTU HATUMPENDI TUFUATE SHERIA ZAIDI KWA MANUFAA YA KILA MTU BINAFSI NA TAIFA LETU.

    ReplyDelete
  9. huyu si alitaka kwenda zanzibar, kwa mihadhara kama hii wamempiga stop,asiwaletee balaa bure alafu yeye akakimbilia bara, hawataki na hawataki mikutano yake, heee jamani, dini ni imani ya mtu isiwe tabu kuingiliwa udini siasa, na hii ni taifa la kila mtanzania, anastahili,

    ReplyDelete
  10. kwao Burundi kwani siri si wamezoea kuwana kule kwani nani asiyejua, wamekimbilia nchi mbali mbali kuomba hifadhi sas antataka ayalete mambo ya kwao hapa, hatutaki kwa kupitia udini this is so bad,

    ReplyDelete
  11. Napenda kuwashauri WATANZANIA kuwa Mungu ndiye muweza wa yote, kama kuna mtu YEYOTE AWAYE anataka kuleta MACHAFUKO katika Nchi yetu kwa namna yeyote HATAFANIKIWA kuna watu wamchao Mungu wanaomba AMANI kwa Nchi yetu na nina imaniMungu anasikia.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...