Swahili TV ilifanya mahojiano exclusive na  Ammy Nando katika Jiji la Los Angeles, USA. Ammy ambaye kwa sasa anajulikana kama Army Nando, Mtanzania mwenye makazi yake katika jimbo la California, aliyeshiriki   Big Brother Africa season 8 "The Chase" na hatimaye kutolewa .  Katika video hii Nando amefunguka kuhusu kilichomfanya atolewe mjengoni, maisha ya mle ndani na pia ameweka bayana mipango yake ya baadaye, nini kinachofuata baada ya BBA.
Kwa interview zaidi tembelea
www.swahilitv.blogspot.com
www.swahilitv.info

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Nimeisikiliza hii interview kweli like son like mother - the mother cannot comment about sex in bba - lol

    ReplyDelete
  2. Kwa mitazamo hiyo ya mzazi na mwana huko, marekani kaeni wenyewe na aina hiyo ya wazazi wenu,mimi na wazazi wangu tutaendelea kuishi kwetu msanga ngongele mpaka mwisho wa maisha yetu.

    ReplyDelete
  3. Haahaaaa haaa uwiiiiiii mdau hapo juu umenivunja mbavu eti Ngongele mpaka mwisho wa maisha yetu lol hahaa haa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...