KLABU YA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA LINDI INATANGAZA NAFASI YA MRATIBU WA KLABU.
SIFA ZA WAOMBAJI:
1. AWE MTANZANIA MWENYE UMRI USIOPUNGUA MIAKA 25
2. AWE NA ELIMU YA KIDATO CHA NNE AU ZAIDI
3. AWE NA UWEZO WA KUTUMIA KOMPYUTA KWA UFASAHA
4. MWENYE UWEZO WA KUUNGANISHA WADAU NA WANAHABARI
5. AWE NA UWEZO WA KUBUNI NA KUTAYARISHA ANDIKO LA MRADI
MAOMBI YATUMWE KABLA YA MWEZI JULAI 30, 2013 KWA :
MWENYEKITI LINDI PRESS CLUB P.O.BOX 404-LINDI
BARUA ZA MAOMBI ZIAMBATANISHWE NA VYETI VIVULI VYA ELIMU , CV NA MAJINA NA ANUANI ZA WADHAMINI WAWILI.
KWA MAWASILIANO ZAIDI FIKA KWENYE OFISI ZETU ZILIZOPO JENGO LA Y2K ZAMANI NOVELTY CINEMA MAKUTANO YA BARABARA YA KARUME NA ELIET MJINI LINDI AU PIGA SIMU NAMBA:0787176221 AU 0754052060


TANZANIA????? AGE DISCRIMINATION THAT IS PURE STIGMA.WIZARA YA KAZI ,HAKI ZA RAIA KIGEZO CHA UMRI NCHI ZA WATU HAZINA HILO.UWEZO KWA KILA RAIA MWENYE UWEZO NA SIFA ZA KUFANYA KAZI. BADO TUNA MWENDO MREFU
ReplyDelete