Chelsea FC ya Uingereza Jumamosi Aug 10, 2013 ndani ya jiji la watunga sheria (Washington, DC) kwenye uwanja wa RFK iliibanjua timu ya AS Roma ya Italia kwa bao 2-1 mpaka mapunziko AS Roma walikua mbele ya bao 1-0 bao lililotokana na Mikel Obi mchezaji wa Chelsea alipomrudishia kipa wake na kipa akaukosea kuupiga na mpira ukagonga posti na ukarudi uwanjani na kukutana na mfungaji wa AS Roma ambaye hakufanya makosa kuutumbukiza kimyami. Picha ni wachezaji wa timu zaote mbili wakiingia uwanjani.

Timi zikijipanga tayari kwa wimbo wa taifa

Juu na chini ni taswira mbalimbali la pambano la Chelsea FC na AS Roma









Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...