Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Mkoa wa Kilimanjaro, Leiya Hermenegild (kulia) akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya sh.mil.28 Mkandarasi wa Kampuni ya uchimbaji visima ya Aqwe Drilling and Construction ya Mjini Moshi, Rishi Shah kwa ajili ya kuchimba kisima katika Chuo Kikuu cha Ushirika na Biashara cha Mjini Moshi (MUCCoBS) chuoni hapo mwishoni mwa wiki.Aliyevaa tai ni Mkuu wa chuo hicho, Profesa Faustine Bee.
Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dorice Malulu (wa tatu kulia)akielekezwa jambo na Rishi Shah wa Kampuni ya Ukandarasi wa Uchimbaji Visima ya Aqwe Drilling and Construction ya Mjini Moshi iyokabidhiwa hundi ya sh. mil. 28 za kuchimbia kisima cha maji katika Chuo Kikuu cha Ushirika na Biashara cha Mjini Moshi (MUCCoBS). TBL iliyokabidhi hundi hiyo hivi karibuni chuoni hapo, imefadhili uchimbaji wakisima hicho.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...