Ujumbe wa wawekezaji toka Japan unaotembelea mamlaka ya bandari (TPA) ukiwa katika kikao na maafisa wa bandari jijini Dar es salaam leo. Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imejipanga vizuri kuhudumia wateja wote wa ndani na wa nje, na ili kufikia malengo hayo TPA inakaribisha wawekezaji binafsi ili kushirikiana katika kuendeleza na kujenga miundombinu ya Bandari zetu
Home
Unlabelled
Ujumbe wa wawekezaji toka Japan watembelea mamlaka ya bandari (TPA) leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...