British High Commissioner, Dianna Melrose
fields questions from press after handing over security equipment to the
Director of Julius Nyerere International Airport, Moses Malaki (not in photo)
today, 16 August 2013.
British High Commissioner, Dianna Melrose hands
over security equipment that included two Explosive Trace Detection Machines,
consumables and other aviation security equipment to the Director of the Julius
Nyerere International Airport, Moses Malaki at the Julius Nyerere International
Airport today
British High Commissioner to Tanzania, Dianna Melrose hands over a
certificate to a trainee after successfully completing an equipment handling
course at the Julius Nyerere International Airport today, 16 August 2013.
Looking on is the Director of the Julius Nyerere International airport, Mr
Moses Malaki. Photos courtesy of the British High commission


Halo halo Wauza na Wasafirisai wa Madawa ya Kulevya mmeona hiyo?
ReplyDeleteNdio kama hivyo vifaa vimetua mjifunze Ujasiriamali wa Kihalali na sio wa Gizani kama uuzaji wa Madawa.
Jifunzeni kazi zifuatazo:
1.Uchekeshaji kwenye Mabaa na Masokoni.
2.Kuchoma mihogo na mahindi.
3.Wanaume na si wanawake kuchoma maandazi na vitumbua kwa Wahindi Jijini Dar nyakati za Jioni na usiku.
4.Kuwa Madalali wa vyumba na Nyumba.
5.Kuwa Mafundi wa Baiskeli na kuziba pancha.
6.Kuuza Vocha na Maji ya Uhai ya Jumla.
7.Udereva wa boda boda na Bajaji.
Mkishindwa mkajifunze angalau Uganga wa Kienyeji kwa mababu na mabibi zenu Vijijini ili muweze kutokea Ligi ya Usajili wa Maisha kupitia Dirisha Dogo la Usajili la Uganga wa Kinyeji!!!
Beba unga unase Uwanja wa ndege mchana kweupeee, mtaumbuka bureee tena mitambo inawaona hadi waendeshaji na watu wote hapo hakuna kukata kitu kidogo hapo wala nini.
Vifaa vya Muingereza mchezo?
Ama kweli haya mabiashara ya ''Kimasogange masogange'' ndio yanakwenda ukingoni!
ReplyDeleteVifaa ndio kama hivyo vimeingia.
Mlango ndio unafunga sasa.