Makamu mwenyekiti wa UTPC Bi Jane Mihanji akitoa tamko la UTPC dhidi ya Chadema kutaka kutumia kifo cha Mwangosi kisiasa.
Rais wa UTPC Bw Keneth Simbaya kushoto akimpongeza makamu wake Bi Jane Mihanjo kwa tamko zuri alilolitoa.
Wajumbe wa bodi ya UTPC wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa juu wa UTPC baada ya kutolewa tamko la kupinga uamuzi wa Chadema kutaka kushirikiana na IPC katika ujenzi wa mnala wa marehemu Daudi Mwangosi ,kutoka kushoto ni makamu mwenyekiti Jane Mihanjo ,Rais wa UTPC Keneth Simbaya na mkurugenzi wa UTPC Bw.Abubakar Karsan BOFYA HAPA KWA HABARI KAMILI |
Je kama ndugu wa Marehemu ndio wanataka kufanya hivyo, wandishi mnaweza kuwakatalia. Je ninyi na wanafamilia ni nani mwenye maamuzi ya mwisho kwenye kuweka kumbukumbu za marehemu wao?
ReplyDeleteDuh Mnala ndio nini jamani??? Kiswahili chetu mankiharibu kabisa headline inakiswahili kibovu ndio maana hata English not reachable kabisaaa
ReplyDeleteMDAU WA KWANZA, FAMILIA INAKUJAJE HAPA? MAANA SIJAONA POPOTE PANAPOHUSISHA FAMILIA KUHITAJI MNARA KATIKA HII HABARI, UNAHISI AU UNAAGUA?
ReplyDeleteNa ndio tatizo kubwa la wanajamii wetu, kukosa uelewa!
ReplyDeleteKwani ni lini familia zimepewa haki ya kuamua dhidi ya taratibu?
Au mtoa mada wa kwanza nawe ni mfuasi wq CHADEMA? Maana kwa mastaajabu mara nyingi maamuzi ya chama hicho hukosa busara
Hebu CHADEMA badala ya kung'ang;ania kujenga mnara hebu jiimarisheni kwanza kwa kujenga hata ofisi zenu za chama hasa huku Zanzibar, hiyo fahari ambayo siku zote ni mama wa ujinga haina tija!!!!Fikirieni mambo ya maana badala ya kuibia fikra za chuki na uhasama, mnara ndio nini? Na kama ingebidi basi nadhani mashujaa kama Marehemu Chacha Wangwe ndio wangeanza kufikiriwa angalau kuimarishwa lile kaburi lake tu, lakini ni niongozi gani ambae amefikiria hata kulitembelea na kuomba dua?
ReplyDelete