Baadhi ya viongozi wa vyama mbali mbali hapa nchini wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya uzinduzi wa mpango wa Mafunzo ya kuwapa uwezo wa kiongozi wanawake,uliofanyika jijini Dar es Salaam leo.Kushoto ni Naibu Waziri wa Wanawake Jinsia na Watoto,Mh. Ummy Mwalim,Katibu Mkuu wa CHADEMA,Mh. Wilbroad Slaa,Naibu Katibu Mkuu CUF Bara,Julius Mtatiro pamoja na wadau wengine.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...