Wakazi wa Maeneo mbali mbali ya jiji la Dar es Salaam,wakiwa katika Fukwe ya Kawe Beach ikiwa ni katika kusherehekea sikukuu ya Idd el Fitr ilioadhimishwa leo Duniani kote,mara baada ya kumalizika kwa mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.
 Watoto wakiogelea kwa raha zao.
 Wengine waliendelea kuwasiliania na wenzao kwa kuwadolishia raha wazipatazo katika fukwe ya Coco Beach jijini Dar. 
 Jamaa wakimuangalia mwenzao akipiga mbizi majini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mtujuze wangapi walikabwa? au kuporwa?Maana huko nako, mtu washindwa hata kwenda beach kupunga upepo,hizo garden tena ndio wala usiseme makazi yao maalum.

    ReplyDelete
  2. Unaweza kusikia baadae watoto 3 wamezama na kupotea baharini siku ya Eid.Kuna haja ya kuweka ALAMA/MSTARI majini kuonyesha kwamba hakuna mtu yeyote kuvuka hapa wakati anaogelea kwa sababu hakuna timu ya uokaoaji hapo.We are not learning.

    David V

    ReplyDelete
  3. Beach si Salama wakati wote! Polisi huchunga usalama wakati wa sikukuu tu, kwa nini wasi tuhakikishie usalama wa kudumu ile tufaidi mali asili yetu??


    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...