Hii ni njia ya Upanga jijini Dar, ukiwa unaelekea Palm Beach kwa kupitia pale yalipo Makao Makuu ya Jeshi.kiukweli njia hii huwa na fujo sana wakati wa jioni, maana kila mmoja anajiona anaharaka kuliko wengine.Wazee wa Feva jitahidini kukatiza na huku ili kukomesha mambo haya.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. madereva wengi wa bongo si wastaarabu ni NG'OMBE.....na ndio wanaosababisha foleni wala sio idadi kubwa ya magari

    ReplyDelete
  2. Ninapenda kuungana na mtoa maoni hapo juu! Mji wa Dar ungekuwa unafoleni sio za kuudhi na kutisha iwapo (1) matrafiki wangekuwa awanajigawa kwenye njia panda zote za mjini zinazoingiza barabara kubwa (2) kukumata magari yote yanayotanua! Huwezi amini watu wanatanua barabara ya Ocean Road kipande kabla ya kufika Agakhan hosp. askari wanaangalia! Jamani chanzo kingine cha mapato ni leseni mpya za udereva! TRA na jeshi la polisi tafuteni namna ya kusoma zile leseni kama kadi ATM ili mtu akifanya makosa tu! Achajiwe moja kwa moja! Awe ana hela hana atajijua wakati wa kulipia kodi ya barabara!
    Namalizia kwa kusema kuwa kila mtu akifuata sheria foleni itakuwepo na itasogea! Magari ya Serikali yanaongoza kwa kuvunja sheria kila wakati! Kama kweli wanaharaka kiasi hicho hao maofisa! Nchi ingekuwa mbali! Inaudhi sana!

    ReplyDelete
  3. Watu wazima Mungu kawapa akili lakini lazima msimamiwe kama wanyama... Hata mbwa akifunzwa huelewa. Ndio maana ananusa na kukamata madawa ya kulevya...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...