Bondia Adamu Ngange kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Issa Matumla wakati wa mpambano wao uliofanyika siku ya jumapili katika ukumbi wa Kilimahewa uliopo Chanika Kigogo Fresh,jijini Dar es Salaam.Ngange alishinda kwa K,O ya raundi ya pili.


Refarii Saidi Chaku kulia akimpa huduma ya kwanza bondia Issa Matumla baada ya kugalagazwa kwa ngumi na bondia Adamu Ngange.
Bondia Antony Mathias kulia akimpiga ngumi mfululizo bondia Ismail Ninja wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa kilimahewa chanika Kigogo Mathias alishinda kwa K,O Fresh Dar es salaam.Picha na Super D Blog.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...