Ankal akipatana bei ya urembo wa kitamatuni na kinamama wajasiriamali wa kabila la Wahimba katika mtaa wa Independence jijini Windhoek. Kabila hili ambalo linaendelea kudumisha mila na utamaduni wa Mwafrika huishi Kaskazini  mwa Namibia katika mkoa wa Kunene (zamani Kaokoland) na pia hupatikana upande wa pili wa mto Kunene nchini Angola. Lugha inayotembea hapo ni Kiingereza na ishara, ni watu wacheshi na hodari sana kwa biashara. Miili yao imepakwa mafuta ya kondoo na udongo mwekundu ili kujikinga na jua.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 21 mpaka sasa

  1. 'Safi na NADHIFU' ndo yale yale ya Barabara ya Morogoro ROAD. Hapo hukutakiwa kulitumia tena neno NADHIFU madhali umeshalisema SAFI tayari. Labda ingelikuwa kwenye sentesi tofauti, lakini sio hapo kwa hapo ...safi na nadhifu... Nadhifu ni neno la kiarabu likimaanisha Safi/Usafi.

    Nadhani bado kuna ugumu katika utumiaji wa Kiswahili fasaha, khususan kwenye maana na matumizi ya baadhi ya maneno/misamiati yake.

    ReplyDelete
  2. Ukaamua kabisa uchuchumalie kwa ukaribu zaidi hivi ni kweli ama naota chifua wazi???Unanikumbusha Putin alivyopata mshtuko wa kuona chifua

    ReplyDelete
  3. ankal upo Namibia au Swaziland hapo? LOL. Ngoja waosha vinywa waone hii..te te te ha ha ha ha!

    ReplyDelete
  4. Ankal tueleze ulikuwa unauliza bei au ulikuwa ungalia hao akina mama hapo sema ukweli kaka.

    ReplyDelete
  5. Kunene?

    Wanaishi Kusini mwa Namibia???????????

    Wanaishi Kasikazini mwa Namibia!

    ReplyDelete
  6. Baba nashukuru kwa kaupapalazi wako unanikumbusha enzi zako ukipigia gazeti la mfanyakazi, Ila kwa hiyo picha nawaomba wakae ukouko hapa Dar hapafai ila baba kwa sisi ambao hatukunyonya udogoni mmmmmmmmmmmm,
    afu ankol ivi kwa mwezi wa ramadhani inakuwaje na tamasha la asilia likawa linafanyika zanzibar na mgeni rasimi sheh Ponda na banda la kuanzia ndo hilo Hammad,,,,,,,,

    ReplyDelete
  7. Michu mbona kama huangalii bidhaakwani macho yako yapo ktk hizo 'chuchuzzzz?

    ReplyDelete
  8. TTZ!!!!!! I love TTZ. Ila cameraman angezoom kidoogo ingependeza zaidi

    ReplyDelete
  9. Heh, kwa kweli ni hatari kubwa ila inapendeza sana. Nina declare interest yangu jamani, mimi kamwe nisingeweza kustahamili kuona 'uhondo' kama huu bila ya kufikiria 'kumrukia' mmoja wapo!!! Haifai kuona mambo haya jamani kwa sisi marijali. Michu wewe ulishinda majaribu na hongera kwa hilo.

    ReplyDelete
  10. safi sana kaka michuzi nimeipenda sana ulivyowatembelea hawa wa mama wa kijasiliamali. me natoa changamoto hata kwa wamama wa kitanzania lets them do as these women

    ReplyDelete
  11. Kaka Michuzi, watumie watu ambao wanashabikia mavazi ya kimashariki kuwa ni ya kiafrika wajue kuwa mwafrika hakuficha matiti yake kabla ya kuingia wageni wala maungo. Turudi tulikotoka na watu wakizoea kubaka kutaisha.

    ReplyDelete
  12. Michu wewe unanunua au unawacheki warembo?

    ReplyDelete
  13. Ankal, tafadhali uwe unaangalia/unapitia vizuri/kwa makini maelezo yako kabla ya kuyaachia yaende hewani, wanaishi Kaskazini hawa watu aisee.
    Nashukuru sana na kazi njema

    ReplyDelete
  14. anko wewe, ulchuchumaa kusudi ucheki nanihiii nini?

    ReplyDelete
  15. Michuzi bana naulizwa huku kuhusu upstairs teh teh

    ReplyDelete
  16. Tusiende mbali sna miaka kama kadhaa iliyopita, hata hapa hapa Tanzania watu walikua wanavaa, tukiachia na Dini, zilikua zimeshaingia,lakini watu walikua wanavaa? zaidi zaidi wanawake maziwa wazi, na kujifunga ukwiju tu,mama akinyonyesha mtoto atalichezea hilo ziwa weee na kulivuta tena mbele za watu,na huko kwenye nyakati za darck continental, ndio kabisa ni mwendo mmja tu wa kwenda kama tulivyozaliwa, sana sana labda kujifunga ukwiju, na watu walikua wanaishi vizuri, bila tamaa, za kubaka, vijitoto mpaka wanawake,na kila mmja anamuona mwenzake kawaida tu, Mwafika kiasili nguo tumechelewa sana kugundua zaidi ya kuvaa majani, mpaka tulipoletewa na hao wenzetu. nduguzetu, hawa binamu zetu. Laikini sisi wenyewe mmmmhh, ni mtindo mmja wa natur, bila kubadilishwa nadhani ingendelea mpaka hivi sasa, ni asili kwa kwenda mbele, na vingekuwa na vijumba vyetu vya udongo

    ReplyDelete
  17. Ankal hahahaha ulifanya manunuzi?

    ReplyDelete
  18. Ankal Michu. Yaani ulivotumbulia macho kwa kifua cha dada mpaka unachekesha!
    Nunua basi uende, unaulizia bei masaa mawili?

    ReplyDelete
  19. du hapo michu unakula chabo tu mzee hakuna kupatana bei wala nini-ha hahahahaha!

    ReplyDelete
  20. weye unaepiga picha nahawa watu na kuweka watu waone sijui unafikiria nini,
    kaa uifikirie nafsi yako na ufikirie unayoyatenda,
    mungu akuongoze.

    ReplyDelete
  21. Hapo Ankal macho kwenye chuchu tu. Hawezi hata kuficha!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...